Kwa anayejua hili

Kwa anayejua hili

genuine1

Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
57
Reaction score
12
Wakuu hope wazima wote,naomba kujuzwa kama kuna uwezekano wa kutumia program yoyote ya kutambua location ya namba ya simu ya mkononi endapo mtu hatumii smartphone.
 
Tanzania Hakuna !

Na haiwezekani !

Wafuate ISP wa mtandao husika !

:msela:

:closed_2:
 
Back
Top Bottom