Mimi nahitaji ramani ya kiwanda kidogo kwa ajili ya ujasilia mali wa kusindika vyakula. ikitokea bahati mbaya biashara hiyo ikakwama nataka nifanye jengo hilo ukumbi wa shughuli ndogo ndogo ama niweze libadili kwa ajili ya matumizi mengine. Yaani kuwe na plan "B". Vipi hiyo wewe waweza?
Ndugu nyati hiyo kazi naiweza napatikana Dsm naomba tuwasiliane nitakututumia na baadhi ya kazi ambazo nimeshafanya na majengo ambayo nimedesign ambayo yameshajengwa. Hiyo kazi naiweza