Kwa anayehitaji PlayStation 2 - Games

Kwa anayehitaji PlayStation 2 - Games

C.K

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
394
Reaction score
166
Hello..!

Kwa anayehitaji PlayStation 2 - Games Decks kwa ajili ya biashara ya kuchezesha games au kwa matumizi ya nyumbani zinapatikana kwa bei nafuu. Zimetumika kidogo so bei yake ni cheap ukilinganisha na dukani. Ukitaka complete set (yaani PS2 deck, TV Screen na pad zake) bei itakuwa chini zaidi. Wahi kwani zipo chache. Mawasiliano - simu 0758 397557, 0718 174 415. Napatikana Kinondoni, Mkwajuni/Studio.
 
hiyo bei nafuu ndio sh.ngapi?...weka mchanganuo bwana
 
Back
Top Bottom