Kwa anayehitaji huduma hii

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Habariini

Mimi ni MC mzuri sana, mwenye bashasha la kutosha la kuweza kuifanya sherehe yako kuwa
changamfu na kuvutia zaidi, hivyo usisite kuniita kwenye sherehe zako mbalimbali kama vile
harusi, sendoff, kitchen Party, Kipaimara, au sherehe za kiofisi zozote zile nitakuja kufanya
huduma hii nawe utapenda na kuvutiwa na huduma yako nitakayoitoa hapo.
Kwa yule aliye serious basi asisite kuniPM nitampa maelekezo na contacts zangu .
 
unapatikana mkoa gani
 
jongeeni km mnataka kufanyiwa huduma hizi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…