kwa anaepajua vizur archbishop james..

kwa anaepajua vizur archbishop james..

charlitochris

Member
Joined
Aug 25, 2015
Posts
15
Reaction score
1
jmn naomba nijuzwe kuhusu chuo cha archbishop james kama kiko poa..si mnajua tena kile chuo ni kipya...msaada please
 
jmn naomba nijuzwe kuhusu chuo cha archbishop james kama kiko poa..si mnajua tena kile chuo ni kipya...msaada please

chuo kipo vzr, miundo mbinu ipo japo ni kichanga, kimetoa awamu mbili ya wahitimu, kipo manispaa ya songea mjini, kama unasomea u-doctor kampasi zao zipo hosptal ya peramiho nje kidogo ya mji,
 
Anayeijua AJUCO jamani atujuze, tuache majungu maana hayajengi kamwe.
 
jamani kama alivyosema mwenzangu hapo juu kama unafahamu kasoro iseme basi ukizunguka unakuwa hautusaidii kwasababu lengo la kuanzisha thread ni tusaidiane kwa unachokifahamu
 
Back
Top Bottom