Ahsante kaka naona itakua ngumu tena kuwa tafuta sababu nipo unguja na hata kwa boat ya asubuhi sita wahi tena
Mie nimepigiwa cm leo kwamba nifike advansbank kariakoo ila mie niliomba intership na maelezo ya dada alopga cm kanambia niende na kitambulisho kesho saa nne asubuhi
duh hawajakuambia kuwa ni paper auMie nimepigiwa cm leo kwamba nifike advansbank kariakoo ila mie niliomba intership na maelezo ya dada alopga cm kanambia niende na kitambulisho kesho saa nne asubuhi
duh hawajakuambia kuwa ni paper au
duh