Kwa Aliejiunga Social Network known as Pheed.

Digaller

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2009
Posts
886
Reaction score
840
Wadau,

Nilikua naangalia social network ambayo ipo hot now achilia mbali Facebook na Instagram nikaikuta hii site inaitwa "Pheed" ambayo unapatikana katika googleplay na Applestore.

Kiukweli ni nzuri kuitumia na zaidi inatoa pay per view.

Nilichotaka kujua ni Je kuna member wa JF ambae amejiunga na hii social network na anapataje pesa kwa hii kitu wameweka yaani ya pay per view?

For more details za Pheed naomba angalia site yao www.pheed.com

Kwa mtu ambae amejiunga naomba alete nondo hapa ili tuone kama mtu unaweza kupata Mpunga maana hiyo ni social network ya kwanza kutoa hiyo kitu ya pay per view kwa members wake. Mia!!
 
Mkuu si kila post lazima ujibu, kuna post zingine unaweza pita tu kama unaona hazikuhusu kuliko kujibu utumbo.

We unadhani JF wanapataje faida kwa hizi Adds walizoweka? Its pay per click/per view so kama hujui kitu kuhusu hiyo bora ukae kimya.

Si kila unapoingia net basi uwe unapoteza pesa, muda mwingine ni vizuri kuangalia ni jinsi gani unaweza kutengeneza pesa.

Kwa Mtu anayejua ni bora akatupa details zaidi Wadau, tupo hapa kusaidiana. MIA!!
 
Pesa,mshiko ,mapene ,ngawira ,fedha ,money etc ..........noma .
 
Why wabongo wanapenda kukandia vya kwao na kusifia vya wazungu?? hili swali najiuliza sana na sipati jibu, Kuna mitandao bongo bomba ile mbaya kama BOFYA HAPA Ni web kali kinyama lakini watu wanakandia na kusifia za nje. na kukatisha watu tamaa.

Kiongozi mbona kama ipo sawa na tweeter au mi naona tofaut,i naomba unieleweshe tafadhali
 

Kwasasa nimekupata mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…