Kwa alie na unlimited ya halotel

Kwa alie na unlimited ya halotel

Robert mp

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
200
Reaction score
21
Jaman kwa aliye na unlimited ya halotel ya simu ya mwezi naomba anisaidie. namba yangu 0783905864
 
:crazy:Unlimited:crazy: Bora vodacom kwenye unlimited
 
Halotel kwenye Unlimited hawafai kabisa. Mb/Gb za kasi zikiisha hata kurasa za JF kufungua ni tatizo
 
Hakikisha unazima data kama hauzihitaji, wako cheap na vizuri kuliko mitandao yoooote, I am enjoying Halotel Data!
 
Visenti acha fix huu mtandao hakuna kitu unless hujawahi kujaribu mitandao mingine
 
Naombeni mwenye kujua setting ya internet ya Halotel anisaidie kunijulisha maana nimeweka line yangu kwa simu kila nikiconnect haionyeshi kuwaconnected.
 
Naombeni mwenye kujua setting ya internet ya Halotel anisaidie kunijulisha maana nimeweka line yangu kwa simu kila nikiconnect haionyeshi kuwaconnected.

Kuna mtu alinitumia hizooo... Weka hizooo..
 
Attachments

  • 1446637001050.jpg
    1446637001050.jpg
    16.4 KB · Views: 445
  • 1446637018523.jpg
    1446637018523.jpg
    17.1 KB · Views: 412
  • 1446637030385.jpg
    1446637030385.jpg
    20.1 KB · Views: 384
  • Thanks
Reactions: nao
Naombeni mwenye kujua setting ya internet ya Halotel anisaidie kunijulisha maana nimeweka line yangu kwa simu kila nikiconnect haionyeshi kuwaconnected.

name weka Internet

APN weka b-internet
 
Mi nko bushi lakn halotel inakamata km tigo dsm
 
Back
Top Bottom