Galadudu JF-Expert Member Joined Jun 23, 2014 Posts 2,304 Reaction score 779 Jul 20, 2014 #1 Hivi kwa nini huwa mnatunza sana kumbukumbu ya mwanaume tangu cku alipoanza kukutongoza utakariri hadi nguo alizokuwa amevaa jamaa......!!
Hivi kwa nini huwa mnatunza sana kumbukumbu ya mwanaume tangu cku alipoanza kukutongoza utakariri hadi nguo alizokuwa amevaa jamaa......!!
serio JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 7,354 Reaction score 4,760 Jul 20, 2014 #2 heheeee... hivi kweli eeeh? hadnt noticed that
Ntenya Member Joined Jul 16, 2014 Posts 35 Reaction score 10 Jul 20, 2014 #3 Hadi sms ulizomtumia siku za mwanzo mwanzo wanatunza. Ila mi nahisi huwa hawajiamini ni kama ushahid siku akitaka kupigwa chini akuoneshe izo kumbukumbu alizonazo then unaweza badili maamuzi
Hadi sms ulizomtumia siku za mwanzo mwanzo wanatunza. Ila mi nahisi huwa hawajiamini ni kama ushahid siku akitaka kupigwa chini akuoneshe izo kumbukumbu alizonazo then unaweza badili maamuzi
Daud omar JF-Expert Member Joined Apr 4, 2011 Posts 2,458 Reaction score 986 Jul 20, 2014 #4 Unajua mwanamke ukweza kumshika akashikika na ukamuingia moyoni akakushiba hayo yote yana kuwa ni matokea yake, ila kama hukuweza it wont happen
Unajua mwanamke ukweza kumshika akashikika na ukamuingia moyoni akakushiba hayo yote yana kuwa ni matokea yake, ila kama hukuweza it wont happen
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,832 Reaction score 37,438 Jul 21, 2014 #5 Mie nimeshawasahau
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,217 Jul 21, 2014 #6 I see.......
ijaswesha Member Joined Jul 17, 2014 Posts 51 Reaction score 3 Jul 21, 2014 #7 Madame B said: Mie nimeshawasahau Click to expand... Co wanaume uluokua na uhucano nao. Uyo ambae uko nae una kumbukumbu zote ambaxo mwanzo anaanza kuquote
Madame B said: Mie nimeshawasahau Click to expand... Co wanaume uluokua na uhucano nao. Uyo ambae uko nae una kumbukumbu zote ambaxo mwanzo anaanza kuquote
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 Jul 21, 2014 #8 Sms atatunza kama hana mchepuko
Galadudu JF-Expert Member Joined Jun 23, 2014 Posts 2,304 Reaction score 779 Jul 21, 2014 Thread starter #9 Huyu ambae ndo kaja kuwa ubavu wangu wa kushoto kanishangaza sana juzi......baada ya miaka 8 ya kuishi wote ndo kaniambia hadi nguo nilizokuwa nimevaa
Huyu ambae ndo kaja kuwa ubavu wangu wa kushoto kanishangaza sana juzi......baada ya miaka 8 ya kuishi wote ndo kaniambia hadi nguo nilizokuwa nimevaa
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,375 Jul 21, 2014 #10 Kama alivutiwa na wewe time unamtokea, basi ni possible yeye kuanza kuweka kumbukumbu ya unayomwambia na kuyafanya. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kama alivutiwa na wewe time unamtokea, basi ni possible yeye kuanza kuweka kumbukumbu ya unayomwambia na kuyafanya. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Junior. Cux JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 5,319 Reaction score 3,797 Jul 21, 2014 #11 Madame B said: Mie nimeshawasahau Click to expand... huwez kukumbuka treni zima... halali yako kusahau
Madame B said: Mie nimeshawasahau Click to expand... huwez kukumbuka treni zima... halali yako kusahau
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Jul 21, 2014 #12 Galadudu said: Hivi kwa nini huwa mnatunza sana kumbukumbu ya mwanaume tangu cku alipoanza kukutongoza utakariri hadi nguo alizokuwa amevaa jamaa......!! Click to expand... imekukuta...?
Galadudu said: Hivi kwa nini huwa mnatunza sana kumbukumbu ya mwanaume tangu cku alipoanza kukutongoza utakariri hadi nguo alizokuwa amevaa jamaa......!! Click to expand... imekukuta...?
Galadudu JF-Expert Member Joined Jun 23, 2014 Posts 2,304 Reaction score 779 Jul 21, 2014 Thread starter #13 kabanga said: imekukuta...? Click to expand... Ni kawaida yao hiyo
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Jul 22, 2014 #14 Galadudu said: Ni kawaida yao hiyo Click to expand... sana tu....