P Primier Member Dec 16, 2015 86 14 Jan 6, 2016 #1 Hili jambo la safari za nje ya nchi kuzuiliwa naombeni wadu mnipe ufumbuzi maana sijaelewa!! ina maana ukitaka kwenda nje lazima ukamuone Raisi akupe ruksa au vp?
Hili jambo la safari za nje ya nchi kuzuiliwa naombeni wadu mnipe ufumbuzi maana sijaelewa!! ina maana ukitaka kwenda nje lazima ukamuone Raisi akupe ruksa au vp?
B babajohn Member Dec 3, 2014 38 11 Jan 6, 2016 #3 Hii ni kwa watumishi wa umma na taasisi zake tu, watu wengine watasafiri kwa kufuata taratibu za kawaida.
Hii ni kwa watumishi wa umma na taasisi zake tu, watu wengine watasafiri kwa kufuata taratibu za kawaida.
BigBro JF-Expert Member Jan 9, 2010 3,209 9,860 Jan 6, 2016 #4 Hata watumishi wa umma wakiwa na udhuru kwa fedha zao wanaruhusiwa, lakini lazima watoe taarifa!
dansmith JF-Expert Member Dec 21, 2013 2,305 2,093 Jan 6, 2016 #5 Nawewe unajiita GT na kuna watu kabisa eti wanakujibu
mseminari mdogo JF-Expert Member Aug 18, 2011 228 146 Jan 6, 2016 #7 Wafanyakazi wa serikali kwa kutumia pesa za serikali au Taasisi zake.
Job K JF-Expert Member Oct 4, 2010 9,315 7,113 Jan 6, 2016 #9 mseminari mdogo said: Wafanyakazi wa serikali kwa kutumia pesa za serikali au Taasisi zake. Click to expand... Mkuu hata kama safari imelipiwa unapaswa kuomba kibali ikulu! Kichaa kapewa rungu, hili agizo kuna vichaa wanalitumia kukomoa watu!!
mseminari mdogo said: Wafanyakazi wa serikali kwa kutumia pesa za serikali au Taasisi zake. Click to expand... Mkuu hata kama safari imelipiwa unapaswa kuomba kibali ikulu! Kichaa kapewa rungu, hili agizo kuna vichaa wanalitumia kukomoa watu!!