Kuzuia michepuko

eazy900

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
349
Reaction score
125
Mi ni mkristo ila nafikiri hii dini ya ukristo wangefuata uislam katika suala zima la Kwa wanaume kuoa up to 4 wanawake na hii ingechangia sana kupunguza michepuko ambayo inahatarisha maambukizi ya ukimwi, maana kama tungeruhusiwa tungejiselectia vipotable vyetu vinne unavipima havina ngoma unaweka ndani hilisuala la michepuko tusingelisikia tena. I am still weighing up uwekano wa kubadili hii Dini mi nafikiri uislam utanifaa zaidi kuliko huu ukristo tunabanana kwenye kabinti kamoja tu it's not fair
 
Acha hizo unataka kubadili misingi ya dini??
 
Si una uhuru kuingia kwenye dini yeyote unayoiona inakufaa kwani umefingwa ..?
 

Kumbuka hata kwenye Uislamu kuna wanaume wana mke mmoja licha ya kuruhusiwa kuwa nao wanne. Na ktk ukristu vile vile kuna watu wana wake zaidi ya mmoja licha ya dini kuzuia hilo. Nina kavidio kafupi sasa sijui namna ya ku upload kwa kutumia simu yangu ili usikie utakavyofaidi akhera iwapo utahamia dini hiyo....hahaaaaa
 
Hao wanaooa wake 4 hawachepuki?

Hapo sasa m nnandugu yangu yangu anawake wa4 lakin kitaa balaa michepuko mpaka kila siku ugomvi ,na hawa wanake wetu wadigital haki sawa kwa wote wangap watakubali kuwa mke wa pili achia mbali wa 4 ni bora kwao kuchepuka kuliko kuwa mke wa pili
 
Kitakachokufanya uoe mke wa pili ndicho hicho hicho kitakufanya uoe mke wa tatu na baadaye hata hao wanne hawatakutosha. Wako wengi wenye wake 4 wanamichepuo lukuki. Pia hujafungwa kuhama dini uwe na uhuru wa kuoa hao wanne
 
Basi tuhalalishe tu michepuko kama hakuna solution ya kuepukana nayo. After all kama ni ukimwi mbona ajali za mabasi zinaua kila siku bado watu wanapanda? Hata hivyo tuko duniani ili tufe. Na kila mtu ana njia yake ya kufa siku ikifika. Michepuko iendelee tu
 
Hivi assume premier league ingeishia kuchezwa uingereza pekee bilaxkuchepukia UEFA ingenoga? Mechi za nyumbani huchosha na timu ikicheza ugenini huimarika zaidi
 
Hata ungepewa ruhusa ya kuoa wake 100 kama ni mchepukaji utachepuka tu,uchepukaji ni tabia ya mtu wala si dini,

halafu Mungu mwenyewe aliyetuumba anajua sana mahitaji yetu ndiyo maana alimuumba Adam pekeyake na akampa Hawa

pekeyake si Hawa wawili, mwanaume angekuwa na mahitaji makubwa sana basi angeumba wanawake wawili.
 
Haya hiki hapa hakiuzwi, ni pm kama unakihitaji
 
unajifikiria mwenyewe?nani alikuambia wanawake nao hawachepuki?ukiweka wanne halafu wote wakawa wanachepuka utapata virus type zote!Ndoa na iheshimiwe na watu wote!simamia maagizo ya dini yako
 
Hii kali kuhama dini ili uoe vibinti vingi? Sio imani?!
 
Malaya ni malaya tu hata ungempa wanawake kumi. Mimi naona uhame tu dini usituletee dini ngeni hapa
 
Acha hizo unataka kubadili misingi ya dini??

hapana mkuu nataka tu kuacha huu unafikiw kikrosto et mkemmoja then vimichepuko viwili sasa hapo tunafanya nini I yaleyale yauislam mkuu,saa bora kuhalalisha kabisa tena hata gharama itapungua mana vimichepuko vnakamua hela ambayo mkeo unampa mwaka mzima
 

hhaaha mkuu nafikiri hako kavidio nmeisha kaona si yule jamaa muislam anasifia eti mbinguni kunamizigo harafu allah anakupa na nguvu za kiume za kuchapia hio mizigo yote
 
Hii kali kuhama dini ili uoe vibinti vingi? Sio imani?!

hao wanne ni maxmum, sasa hio inategemeana na ww unamichepuo mingapi kama mmoja basi unahalalisha, kama miwili basi hao unahalalisha wanakua wako legal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…