Kuzorota kwa habari za Ben aliyepotea JF, ni ushahidi tosha chadema wanajua zaidi!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
21,550
2,000
Jamii Forums naweza kuiita ni forums ya Upinzani kwanza naweza kwenda mbali zaidi na kuiita ya chadema, na hapa simaanishi kwamba mwanzilishi na viongozi wake ni chadema bali namaanisha wachangiaji, na kama JF ingekuwa ndiyo TZ yenyewe basi CCM ingeshindwa kwa tofauti kubwa sana ya kura, lkn kwa bahati mbaya hawana namba!

Sasa kwa kuuubali huo ukweli ambao nafikiri hakuna anayepingana nao, kama kweli huyu mwana chadema ajulikanye kama Ben Saanane ambaye haonekani, kama chadema wangekuwa na uhakikia 100% kwamba wao ni wasafi kwenye hili na kwamba Serikali yetu ndiyo inayohusika basi leo hii hapa pangekuwa hapatoshi, tungekuwa 24/7 bombarded hapa JF kuhusu habari za upoteaji wake kwa lkn ukweli ni kwamba jamaa wa chadema wako kimya na habari za Ben zimezorota sana hapa JF, hivyo ni ushahidi tosha kwamba chadema wanajua huyu jamaa aliko au kilichompata na naweza kwenda mbali zaidi kusema kwamba chadema wanahusika na kuadimika kwake, kwani haingii akilini Lema anapata coverage nyingi kuliko Kiongozi mwingine ambaye hajulikani aliko, hii siyo kawaida ya chadema hivyo hapa chadema hawachomoi na wanalijua hilo na ndio maana wako kimya ...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom