Tatizo la Mirija ya Uzazi kuziba: Changamoto na tiba yake

Mdadamwema. Ngoja nikwambie mie nimepitia hiyo changamoto na nimehangaika sana kwa hao wanaojiita watu wa tiba mbadala matokeo yake mke wangu akaishia kubadirishiwa dawa tu kila kitu huku nikitumia pesa kubwa nikakata tamaa ila nilipoenda hospital baada ya kupata daktari bingwa ingawa gharama ilikuwa kubwa kidogo lakini unaona tumaini ni kubwa mwezi uliopita wife kafanyiwa operation ya mirija na akakutwa alikuwa na tatizo lingine kwenye mayai yote yakarekebishwa, cha kujifunza hapa hakuna njia ya mkato kwenye mambo haya hawa watu wa mbadala wanasaidia ila shida yao huwa wakishindwa hawataki kusema wameshindwa ushauri nenda hospital tu
Kuna level ya ugonjwa dawa mbadala haisaidiii. Ni kufanyiwa operation tuu. Sasa hili huwa halisemwi....!!! Huwa Ni kanyaga twende.
 
Kuna level ya ugonjwa dawa mbadala haisaidiii. Ni kufanyiwa operation tuu. Sasa hili huwa halisemwi....!!! Huwa Ni kanyaga twende.
Nani kakwambia kuwa Dawa Mbadala hazisaidii kutibu Mirija ya uzazi iliyo ziba? Operesheni haisaidii kitu hapo. Akifanya operesheni atakuwa ni tasa huyu mdada.
 
Ndugu zangu naombeni mawazo yenu Mimi mhanga wakutafuta mtoto leo nimepima nimeambiwa mirija ya uzazi imeziba yote. Nimeambiwa nizibuliwe/ nisafishwe.

Naogopa maana maneno ya watu wanadai ukizibuliwa uwezekano wa kupata mimba ni asilimia 2.

Kwa aliyewahi kupitia hili anitoe wasiwasi.
 
unaujua mkunde pori? kwa huku Tanga tunauita mnuka uvundo

chukua mizizi yake

chemsha na maji lita moja
ikipoa kunywa vikombe vitatu thus asubh mchana jioni halaf kama imebakia imwage kesho yake chemsha mpya

fanya hivo na kunywa kila unapoanza period mpaka mwisho wa period then subiri danger days kutana na mr wako

unipe feedback
 
Heb jarib kutafuta hata dawa za asili ,huko kuzibua siyo upasuaji? Kdg na wasiwasi ila jitahdi ikibidi utumie tu hyo njia,kabla hakikisha huku kwingine pameshindikana
 
Huyo aliyekuambia na kukushahuri anahuo utaalamu wa hayo mambo ya uzazi?
 
Ndugu zangu naombeni mawazo yenu Mimi mhanga wakutafuta mtoto leo nimepima nimeambiwa mirija ya uzazi imeziba yote. Nimeambiwa nizibuliwe/ nisafishwe.

Naogopa maana maneno ya watu wanadai ukizibuliwa uwezekano wa kupata mimba ni asilimia 2.

Kwa aliyewahi kupitia hili anitoe wasiwasi.
Pole sana kwa tatizo hilo mkuu, naweza kufikiria hali unayopitia, mim nashauri uzingatie pia suala la lishe kwa maana ya mwili kwa ujumla nikiwa na maana kama una uzito mkubwa ni tatizo unaweza kutafuta diet nzuri kupitia washauri wa kisayansi na sio hizi za malimao n.k
 
Back
Top Bottom