Kuzaa mapema ndio mpango mzima

Baadgi = Baadhi

Oeani = Oaneni

Matabibabu = Matabibu

Poor intellectual hata kuandika tu kiswahili hujui? Nani mwenye elimu ya uchochoroni?

Unajua nimemaanisha dini ipi?
Wewe unadhani wote humu wajinga kama wewe, mjinga kama wewe tu ndiye ambaye hataweza kuju upuuzi wako huo, so narrow minded.
 
Naona kuna kampeni ya kuzaa mapema, inaendeshwa chini kwa chini, MMU kuna mada km hii pia, sijui iko kwa faida ya nani
 
Wewe unadhani wote humu wajinga kama wewe, mjinga kama wewe tu ndiye ambaye hataweza kuju upuuzi wako huo, so narrow minded.
Kuju = Kujua

Hahaha ua the really definition of failure n empty minded buddy...
 
 
Inategemea ulipochelewa kuzaa/kuoa ulikua unafanya nini. Kama ulikua unajirusha itakula kwako. Kama uliweka foundation ya maisha hamna tabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…