Umemaliza majibu yote feitty,lakini mimi naona familia ambazo wamelelewa katika mazingira ya kuheshimu na kumuogopa Mungu,afadhari kidogo sio wahanga wa tatizo hili.1.Mapenzi kukolea upande mpaka mwanamke anajisahau anajikuta kabeba mimba wakati aliyembebea hana mpango nayo
2.Wengine wanabeba mimba ili waolewe mana anaamini akishabeba lazima aolewe.
3.Wengine inatokea tu bahati mbaya hajadhamiria anajikuta mjamzito.
4.Wengine akiona upo vizuri kipesa hata kama anajua hutamuoa anakuzalia mana anajua mwanae atakuwa na maisha bora na yeye atafaidi kupitia mgongo wa mwanae.
5.Kuna ambao hawabelieve katika ndoa wanapenda maisha ya usingle hivyo anajizalia mwanae analea maisha yanaenda.
6.Kuna ambao umri ukienda anaona mh!hakuna wa kumuoa hivo afadhali awe na mtoto kabla jua halijazama akipata wa kumuoa sawa asipopata bas.
Ni kweli ila kuna vitu vinavyopelekea mtu kujikuta anazaa kama bahati mbaya au umri unamtupa mkono au mwanaume kuikataa mimba na kumkataa kumuoaUmemaliza majibu yote feitty,lakini mimi naona familia ambazo wamelelewa katika mazingira ya kuheshimu na kumuogopa Mungu,afadhari kidogo sio wahanga wa tatizo hili.
Kuna factor nyingi mkuu,wengine wanahisi ndio tkt yakumthibiti mwanamme,wengine wanadanganywa kua nataka unizalie bila ya kufikiri mara2 ana jisenua hajui mwenzie anataka apewe asepe,wengine ngono zembe,wengine mri unakwenda wanahitaji japo kuitwa Mama,wengine desparate nizae na flani iliniweze kua nae hata kama ana mkewe poa tuu..nimejaribu kufanya kautafiti flani siyo rasmi sana. wasichana wengi wanajifungua nje ya ndoa- wakiwa mtaani, shuleni, kazini, mchepuko, vyuo vikuu n.k. nisaidieni chanzo cha haya masuala na madhara yake jamani ili kwa nafasi yangu nikiwapa darasa liweze kutoa matokeo mazuri. mungu awabariki
Nimeyapenda majibu yako.Yamegusa kwenye tatizo hasa1.Mapenzi kukolea upande mpaka mwanamke anajisahau anajikuta kabeba mimba wakati aliyembebea hana mpango nayo
2.Wengine wanabeba mimba ili waolewe mana anaamini akishabeba lazima aolewe.
3.Wengine inatokea tu bahati mbaya hajadhamiria anajikuta mjamzito.
4.Wengine akiona upo vizuri kipesa hata kama anajua hutamuoa anakuzalia mana anajua mwanae atakuwa na maisha bora na yeye atafaidi kupitia mgongo wa mwanae.
5.Kuna ambao hawabelieve katika ndoa wanapenda maisha ya usingle hivyo anajizalia mwanae analea maisha yanaenda.
6.Kuna ambao umri ukienda anaona mh!hakuna wa kumuoa hivo afadhali awe na mtoto kabla jua halijazama akipata wa kumuoa sawa asipopata bas.
Wewe endelea kushangaa tu ila baadae utaelewa tu, hakuna namna.Nimejaribu kufanya kautafiti fulani siyo rasmi sana. wasichana wengi wanajifungua nje ya ndoa- wakiwa mtaani, shuleni, kazini, mchepuko, vyuo vikuu n.k.
Nisaidieni chanzo cha haya masuala na madhara yake jamani ili kwa nafasi yangu nikiwapa darasa liweze kutoa matokeo mazuri.
Mungu awabariki
How old are you?Chanzo ni mwanaume na mwanamke kutokowa wavumilivu mpaka ndoa na kuishia kutenda dhambi ya uasherati.
Chanzo ni wanaume wanshindwa kutuliza vikojoleo vyaoNimejaribu kufanya kautafiti fulani siyo rasmi sana. wasichana wengi wanajifungua nje ya ndoa- wakiwa mtaani, shuleni, kazini, mchepuko, vyuo vikuu n.k.
Nisaidieni chanzo cha haya masuala na madhara yake jamani ili kwa nafasi yangu nikiwapa darasa liweze kutoa matokeo mazuri.
Mungu awabariki
wewe cha kwako umeweza kukituliza?Chanzo ni wanaume wanshindwa kutuliza vikojoleo vyao
Ndioooowewe cha kwako umeweza kukituliza?
Oook? Unasubiri niniNdioooo
Bwakila mambo Vipi?Kama umefanya utafiti ina maana tayari una majibu.
Sioni logic ya kuja kuuliza tena hapa