ruphem2003
Member
- May 14, 2011
- 18
- 0
Habari ya saizi wana jf,nna shida moja naomba msaada wenu,pc ambayo naitumia ina users waili,administrator na user,sasa mimi naruhusiwa kutumia user ambayo iko restricted,vitu kama ku install programs nashindwa kabisa,ombi langu nikama kuna uwezekano wakuweza kuinstall na uninstall programs kama user kwani nimejaribu countless times naambiwa, "you dont have administrative priviledges to perform this task",na password ya administrator sina,nikiomba sipewi.
Please Help JF ians
Ukishindwa piga chini(format o repair) mashine instal hizo vitu ukimaliza nenda kwe my computer right click go 2 my properties irudishe iwe kwenye domain kama mwanzo sema utahitaji password za administrator password ndo risk ya hii kitu inabidi ujue computer name yako na domain name ya company yenu mara nyingi domain name ndo inakuwa password so b4 doing hebu right click my computer nenda kwenye computer name ikifunguka click change angalia computer name na domain setting'rudi huku kwa administrator ingiza user name administrator password weka hyo domain maybe umekuta domain kaka.co.tz weka password kaka'ukishindikana andika computer name back slash kaka'ikishindikana niambie unatumia window ipi nikusaidie
i411,hivi karibuni employer wangu kaniuliza kama niko motivated kufanya kazi hapa ofisini kwake,kumbe ameona all the application emails i've been sending to various companies,sasa nnchotaka kujua,je alipo findout ni kwamba ameona actual emails that i've sent au anachoona ni nini? kwani nimeogopa sana,yani ameona all the emails i've been sending,can u help me find ways of sending my emails without them seeing on the network,its scary!!!!!!