Men are polygamy in nature,mind you human/man's needs are unlimited we huoni wanapewa vizuri na bado wanaweza dai KABAANG sisi sio wa kutuendekeza
si kweli kabisa watu kibao wanawake 3 lakini kuchapa nje kama kawa mkuuu si kigezo hicho ...... we uo tu wawili au watatu lakini kwa maisha ya sasa duh usijetesa watoto wa watu mkuuu.....No! Unajua ujasiri wa mke kumruhusu mume aoe mke wa pili kwa 80% mume hawezi kuleta ujinga wa kuenda nje tena. Na mwanamke anatakiwa awe na Amani kuwa leo yupo kwa mwezangu.
Faida: mahitaji wote watapata
Hii ni kuingizana kwenye mafunzo ya marehemu mohammad wa Makka bila kujua.Mimi ni dume ila naona kinyaa kuchangia mapenzi.Marehemu mohammed ndio aliyaweza haya na wafuasi wake.
Naapa kwa jina la Mungu sijawahi toka nje ya ndoa.Hivi ni kweli haujawahi kuchangia mapenzi, hujawahi toka nje ya ndoa?
Naapa kwa jina la Mungu sijawahi toka nje ya ndoa.
watu wengine hua mnakurupuka usingizini
na kuandika ujinga pasipo kufikiri?haaaa!!
vp kuhusu mwanamke nae kumiliki mme zaidi ya mmoja
mtakubali?mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!
ha ha haaaaa!!!!We unao wangapi?
ha ha haaaaa!!!!
Men are polygamy in nature,mind you human/man's needs are unlimited we huoni wanapewa vizuri na bado wanaweza dai KABAANG sisi sio wa kutuendekeza[/QUOTE]
Nimeelewa zaidi hapo coloured!
Men are polygamy in nature,mind you human/man's needs are unlimited we huoni wanapewa vizuri na bado wanaweza dai KABAANG sisi sio wa kutuendekeza[/QUOTE]
Nimeelewa zaidi hapo coloured!
mtoe kaka angu kwenye hilo kundi lakin