Hahahaha kumbe mkuu huyu jamaa anayejisifia kumpa ndumba supa feo hajamuachaa mtu salama mana hata mm sms hivyo nilipata bana ila nilimkomeshaaHhahaaaa,kuna mmoja eti alijifanya ndie aliyemfanyia dawa super feo...
Namba wanazipata kwenye simu za watu walizoiba ambazo hazina password kwenye simu au SIM cardHata mm najiulizaga namba za watu wanapata wapi je wanabuni tu ama kuna ulinzi shirikishi
Yaaani wanachekesha kwelii,nilimjibu kwa injili nahisi alitupa simu yake kwa hofu kama ya wayahudiHahahaha kumbe mkuu huyu jamaa anayejisifia kumpa ndumba supa feo hajamuachaa mtu salama mana hata mm sms hivyo nilipata bana ila nilimkomeshaa

SUPER FEO NASIKITIKA SANA NIMEKUPA NDANGU NA UMEFUATA MASHERITI NA UMEPATA UTAJILI MKUBWA NA UNANIHESHIMU BABU YAKO UKUMBUKE WEWE NA WENZAKO MWENDAMSEKE PAMOJA NA MANYANYA NILIWASAIDIA BURE NA BAADA YA KUFANIKIWA MULIKUJA KUNISHUKURU TENA NIMEWAPA DAWA AMBAZO HAZINA MATHALA LAKINI MWENZAKO WA MWANZA NIMEMUSAIDIA AKIWA MBALI SIMUFAHAMU ANIFAHAMU ILA KWA HESHIMA YAKO NIMEMUSAIDIA AMEFANIKIWA HATAK KUJA KUSHUKURU ANANITUMIA PESA TU MWAMBIE ASIONE MAGARI YAKE NA NYUMBA ALIZO JENGA AMESHAA SAHAU ALIKO TOKA NAWEWE UJE UCHUKUE DAWA YAKUWEKA KWENYE MABASI YOTE MWENZAKO HUYO UMPE NAMBA ANIPIGIEHhahaaaa,kuna mmoja eti alijifanya ndie aliyemfanyia dawa super feo...
Dah!! hii mesej ilifany nitupe lain yang axe..SUPER FEO NASIKITIKA SANA NIMEKUPA NDANGU NA UMEFUATA MASHERITI NA UMEPATA UTAJILI MKUBWA NA UNANIHESHIMU BABU YAKO UKUMBUKE WEWE NA WENZAKO MWENDAMSEKE PAMOJA NA MANYANYA NILIWASAIDIA BURE NA BAADA YA KUFANIKIWA MULIKUJA KUNISHUKURU TENA NIMEWAPA DAWA AMBAZO HAZINA MATHALA LAKINI MWENZAKO WA MWANZA NIMEMUSAIDIA AKIWA MBALI SIMUFAHAMU ANIFAHAMU ILA KWA HESHIMA YAKO NIMEMUSAIDIA AMEFANIKIWA HATAK KUJA KUSHUKURU ANANITUMIA PESA TU MWAMBIE ASIONE MAGARI YAKE NA NYUMBA ALIZO JENGA AMESHAA SAHAU ALIKO TOKA NAWEWE UJE UCHUKUE DAWA YAKUWEKA KWENYE MABASI YOTE MWENZAKO HUYO UMPE NAMBA ANIPIGIE