Kuweni Macho Kwa Matapeli Hawa

Kuweni Macho Kwa Matapeli Hawa

pozzyfaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
1,453
Reaction score
268
Hii kitu imenitokea ktk mitandao ya kijamii kama we ni mwanamke unatumiwa msg na mwanaume na kama ww ni male unatumiwa msg na fimale.
Hii imenikuta
Unakuta umetumiwa E-mail na f / M anakutaka kimapenzi, zen anakuelezea background yake yote, kua alifiwa na wazazi wake wote na ndugu zake wanataka mali iliyoachwa na baba yake Dr. flani ambazo ni $25000.5 ziko bank, anakutumia detail za bank zote mpaka namba za cm. hapo kumbuka anakuambia alikimbia akakimbilia Senegal ktk Camp ya Dakawa. na anataka pesa iliyopo kule ahamishe ije kwako ili mje kula bata wote. anakupa namba ya padri mnakua mnawasiliana. inshu inakuja kwenye Avidavit, yeye anakua hana pesa ypo camp na haruhucwi kutoka, so unatakiwa ww utume $300 ili wakili agonge muhuli pesa ihamishwe. ukituma tu imekula kwako
 
Pole.ila izo zilipendwa sana na humu walishaleta maada izo tangu mwaka 2002
 
Nyimbo za zamani ambazo hazikuvuma zikiimbwa tena ni kama kelele vile.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom