habari za jioni waungwana..nimenunua pc mpya aina ya TOSHIBA..ila hailkubali kila nikijaribu kuweka window; inaandika NO BOOTABLE DEVICE--PLEASE RESTART SYSTEM,pia nimewapa baadhi ya watalam wameshindwa..mwenye idea yeyote naomba mawazo yake

ukiachana na booting priority, pia kuna shortcut hapo kama umepachika bootable flash au cd, bonyeza esc pale tu pc inapooanza kuwaka. Itakupa option kibao.. Chagua bootable devices, pc nyng ni kwa kubonyeza F9