Kuweka umeme nisaidieni.

Kuweka umeme nisaidieni.

LadySwa

Member
Joined
Jan 25, 2009
Posts
77
Reaction score
6
nyumba yangu ipo Tegeta nataka kuweka umeme wa Tanesco natakiwa kuweka nguzo 2 na kununua Ground cable anayejua gharama zake
tafadhali anijuze .
 
Mahali pa uhakika pa kupata ukweli ni Tanesco tu , si uende !
 
Back
Top Bottom