Kuweka security kwenye website yako

Kuweka security kwenye website yako

MAJANGAMAJANGA

Senior Member
Joined
Feb 13, 2013
Posts
179
Reaction score
93
Habar zenu wana jamvi naiman mko poa jamani mimi ninatatizo naomben mxada wenu nimetengeneza website kwaku2mia notepad bado cja host xaxa swali linakuja nitailinda vp website yang na hackers au malicious attack ntashukuru xana kwa mxaada wenu
 
html au php au lugha gani inaongea wavuti yako
 
Nipe hiyo website yako niisambaratishe muda mfupi ,hakuna security website za bongo me huwa nazishusha kibao mpaka blogs
 
Back
Top Bottom