Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,817
- 5,403
habari zenu wote
tatizo langu leo ni kuhusu kuweka chatrooms ktk blog yangu yaan mtu aweze kusign up,ku sign in na kisha kuchati,kuupload picha na kushare na wengne.nadhani nimeeleweka nitafurah sana nikfanikisha hicho ki2. kuna mtu aliniambia kuwa lazima nitengeneze database,ila sina utalam huo.MSAADA..... mfano ni ile web ya shigongo
grobalpublisherstz.inf