Kuwatumia akina Cheyo, Wasanii, UVCCM, Polisi, Makundi ya wanawake ni uwoga wa CCM

Afixa0

JF-Expert Member
Jun 16, 2015
464
485
Kutumia makundi hayo yote inadhibitisha chadema ni chama dume,,wakikoroma CCM inatumia pesa nyingi kuwatuliza kwa kuwatumia hadi wasiotumika..Sasa cheyo anaweza akamshawishi nani kama ameshindwa kushawishi wananchi watoe japo uwenyekiti wa kitongoji kwa chama chache

Wasanii CCM,,wale wazee wa njaa tupu wanaweza wakamshawishi nani?
Radio uhuru,gazeti la tazama,mkakati yanaweza yakamshawishi nani asiyeyajua kwamba ni ya CCM.

-UVCCM wanaweza wakamshawishi nani wakati wanajulikana ni wanafiki na wezi tupu...

Mmekaribia kutumia hata wehu mitaani wavae tisheti zenu km mnavyofanya kwa wafagia barabara
UKUTAAA NDIO TIBA YA UDIKTETA
 
Back
Top Bottom