Kuwategemea Manabii Ni Ibada Ya masanamu

Mungu alifanya kazi siku sita. Na siku ya saba akastarehe. Sisi tunataka starehe tu. Hebu fikiria katika siku sita za kazi Mungu alizotumia alipata masaibu gani? Alipitia changamoto nyingi na alifikiri sana sasa sisi hatutaki hivyo tunataka Muujiza tu. Ule muujiza wa Lazaro ulikua una process hebu fuatilieni haukutokea from no where
 
Na walishanunua sana na hawajatoboa

Tuliuzwa pale tulipojitoa burebure au tulipotolewa sadaka kwa shetani na tukakombolewa kwa sadaka ya msalaba na kifo cha Kristo
Na ili tuwe salama lazima tujitoe sadaka kwa kujifunza njia za Mungu, kusali, kukesha na kuomba, kufunga na kuacha maovu wa aina yoyote

Isaya 52:3-6
Maana Bwana asema hivi, Mliuzwa bure; nanyi mtakombolewa bila fedha.
Maana Bwana MUNGU asema hivi, Watu wangu hapo kwanza walishuka Misri ili wakae huko hali ya ugeni; na Mwashuri akawaonea bila sababu.
Basi sasa, nafanya nini hapa, asema Bwana, ikiwa watu wangu wamechukuliwa bure? Hao wanaowatawala wanapiga yowe, asema Bwana, na jina langu linatukanwa daima mchana kutwa.
Kwa hiyo watu wangu watalijua jina langu kwa hiyo watajua siku ile ya kuwa mimi ndimi ninenaye; tazama ni mimi.
 
Nimekupata vyema mtumishi.
Ubarikiwe
 
Hawa ma grandmaster wanaotoa magari halafu baada ya muda hayo magari huanza kuwachinja mmoja mmoja kama yule prophet wa Malawi. Wajanja wenye macho ya rohoni hawatakamatwa.Biblia inasema, iwapo ni wajinga hawata potea.
 
Ni kweli kabisa kuna magari maalum hutengenezwa ili yatoe kafara ya damu.
Hawa ma grandmaster wanaotoa magari halafu baada ya muda hayo magari huanza kuwachinja mmoja mmoja kama yule prophet wa Malawi. Wajanja wenye macho ya rohoni hawatakamatwa.Biblia inasema, iwapo ni wajinga hawata potea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…