Wataalam nisaidieni jamani, huwa kuna kipindi inatokea nawashwa sehem ya haja kubwa mara tuu baada ya kujisaidia, baada ya muda panaacha tena, kosa nikienda kujisaidia tuu, ni ugonjwa gani huo
Dah! Pole mkuu. Nakushauri uwahi hospitali watachukua vipimo na watakupa majibu ya uhakika. Huku kuna madaktari pia ila tutakuwa tunakisia tu. Ila cheki minyoo pia.
Harakisha mkuu maana hiyo hali inaweza kukuhamasisha mambo mengine ukabadilika kitabia. Nimekuonya mapema. Kila la heri!
Wataalam nisaidieni jamani, huwa kuna kipindi inatokea nawashwa sehem ya haja kubwa mara tuu baada ya kujisaidia, baada ya muda panaacha tena, kosa nikienda kujisaidia tuu, ni ugonjwa gani huo
Minyoo au ni bacteria imbalance kwenye njia ya haja kubwa.
Lakini pia inaweza kuwa dalili ya ugonjwa wa kuota vinyama kwenye njia ya haja kubwa, na hapo ndipo pazito balaa
Ni bora ukafanya chekup aisee, maana sometimes hupelekea magonjwa mengine mazito sana, kama uko Dar mtafute dokta mmoja anaitwa Dokta Khan pale Regency atakusaidia mkuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.