Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,042
- 10,787
Labda wa cherehaniWe are DONOR COUNTRY
Tunawashukuru kwa msaada
Hii imekaa vizuri kwa kweli,tuliowahi pita hii njia,tunafahamu adha ya hicho kipandehapa kuunganisha itigi na Tabora amefanya vizuri sasa magari yaendayo mwanza, bukoba, Rwanda na Burundi yataweza kupitia barabara hii na kupunguza umbali wa kutoka DAR mpaka kanda ya ziwa kwa takribani kilometer karibia 100.
Mbona kwa haraka haraka Dar Nzega kupitia Singida ni karibu kuliko Dar Nzega kupitia Tabora au hayo magari hayatapita Nzega?hapa kuunganisha itigi na Tabora amefanya vizuri sasa magari yaendayo mwanza, bukoba, Rwanda na Burundi yataweza kupitia barabara hii na kupunguza umbali wa kutoka DAR mpaka kanda ya ziwa kwa takribani kilometer karibia 100.