Kuwa Single yapitishwa kama Disability

Du bahati hiyoo bora watutambue hiyo kuwa ni disability hiyo ni fursa kwetu wajanja wa kujiongeza kiakili wengine wa naona ni tusi wakati wajanja tushaona fursa"opportunity " uleee to be single
Umeona mkuu..tuanzishe NGO
 
Hahahaha sishangai, Ila ushoga na lesbians eti wanasema ndo sio Disability.
 
Vipi ushoga na usagaji si ndio hakutakuwa na neno sahihi?
 
Je wale wanaume ambao wanatafuta malaya wanawekwa grup ganiiijj
 
Masingle wote ni walemavu duh wangetuwekea hata umri Wa kuanza kuwa mlemavu
 
Sikubali kama kuwa single ni Disability kwa sababu kuna kipindi unaweza ukawa unatafuta partner unakosa kila unaemfuata anakataa hata utumie mbinu gani mi nasema hivi kuwa single ni KIPINDI CHA MPITO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…