Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 13,244 Reaction score 26,521 Nov 17, 2024 #1 Ukomavu ni pale ambapo hauwalazimishi watu kukuchagua wewe Kupanda ngazi moja katika mafanikio ni bora kuliko kutofanikiwa kabisa Weka mkazo kwenye mchakato wa mafanikio na sio mafanio yenyewe Ukimya wakati mwingine ni jibu lenye nguvu sana Hakikisha una nguvu ya kutosha kuweza kufanikiwa mwenyewe Amini mda unabadilisha kila kitu Kupona kunachukua mda ila kunaanzia ndani ya nafsi yako Kujipenda mwenyewe ni upendo bora zaidi ambao unaweza kuwa nao Kwa nyuzi za kubadili mitazamo,kukua kifikra na kuwa mtu bora zaidi,usikose kunisoma Ni hayo tu!
Ukomavu ni pale ambapo hauwalazimishi watu kukuchagua wewe Kupanda ngazi moja katika mafanikio ni bora kuliko kutofanikiwa kabisa Weka mkazo kwenye mchakato wa mafanikio na sio mafanio yenyewe Ukimya wakati mwingine ni jibu lenye nguvu sana Hakikisha una nguvu ya kutosha kuweza kufanikiwa mwenyewe Amini mda unabadilisha kila kitu Kupona kunachukua mda ila kunaanzia ndani ya nafsi yako Kujipenda mwenyewe ni upendo bora zaidi ambao unaweza kuwa nao Kwa nyuzi za kubadili mitazamo,kukua kifikra na kuwa mtu bora zaidi,usikose kunisoma Ni hayo tu!
The mission 2017 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2017 Posts 6,179 Reaction score 14,066 Nov 17, 2024 #2 Dah umenikumbusha, ngoja nika jisurprise na kapepsi ka baridi 😋