Kuwa Kiben10 Nako Ni Tabu

Pimbi tuu wewe alafu unaweka picha yake humu kwa ridhaa ya nani? Je, kama yuko humu na kwa hayo maelezo akajua ni wewe, atakachokufanyia unajua wewe? Take care hizo sifa za kijinga unajifanya mjanja wa A town zitakucost.
Ebu ngoja kwanza Umeniita pimbi chaliangu sio?!!Bas sawa aikatai aride..Hayupo humu ukiona nimeweka picha ujue nshamfatilia kichizi...ila jichunge sana na mdomo.
 
Nyie watu wa arusha
Hua mnajiona wajuaji sana
Shwain😡😡
 
We Chalii, hii picha ya mke wangu umeitoa wapi wewe
 
Nasikia siku izi mnawaloga hao majimama ili msiachike
 
Umepewa free k, bado unataka kumfuatilia mpaka kwenye anga zake...

Atakubuta kweli...


Cc: mahondaw
 

Alafu hizo bangi za Arusha nadhani zina viwango sana kuliko ya Njombe.
Unasema hayupo humu JF, ok, vipi kuhusu ndugu zake, marafiki zake, umefikiria social impact ya ujinga uliofanya?
Wataona marafiki zake, ndugu zake watampelekea hiyo story, kumbuka huku tuko na ID fake. wee subiri iko siku utafanyiwa kitu mbaya hutasahau. Nadhani umeingia Arusha kichwa kichwa
 
Huwa sielewagi unachokiandika ila napendaga tu kukusoma yaani
 
Vijana wa chuga washamba Sana
 
Huwa sielewagi unachokiandika ila napendaga tu kukusoma yaani
Aaaah shukrani sana Mamalai japo leo nimejitahidi kuandika Lugha nzuri sijatumia Ngareroo slangs nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…