Kuvutiwa na mimama

Jamani nifanyaje kuhepuka hii kadhia yani Nina tatizo la kuvutiwa na mijimama yani kila nkikutana na mmama kuanzia miaka 40 huwa navutiwa nao kimapenzi ila nshindwa kuwaambia ukweli
Huwa unawauliza umri?
 
Tatizo unapenda sana kusoma story za mitandaoni kuhusu vijana na wamama. Acha hizo zinakupunguzia heshima utakuja mtaman hadi mzazi wako.
 
kila mwanaume na udhaifu wake hata mm hapo kwa hizi shepu za Bantu a.k.a BBW sina break kabisa ila mda mwingine madharau ndio sipendi mwisho wa siku japo wanaridhishwa mpaka wanasahau kwo for some days alafu ukiangalia gest pia analipa yeye....
 
mkuu tuma pesa humu 0715653610 nikuunganishe na mishuga mamy ya mtaa wetu jina litatokea SALIMU BULICHEKA trust me
Wenye fikra hizi hawana chapaa!! Kama unabisha akutumie mm nitakutumia mara 2 ya alichotoa yy!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…