Nini kilikukuta jana hadi kuwekwa lockup?
Nachochea maandamano etiNini kilikukuta jana hadi kuwekwa lockup?
Umekuja kwa kasi ukikumbuka uvunjaji wako miaka ilee
Ulikuwa Jukwaa la Siasa?Nachochea maandamano eti
Sasa Nokia ungo wa kupepeta mchele unashida gani tukiuvunjaUmekuja kwa kasi ukikumbuka uvunjaji wako miaka ilee
Nilikuwa jukwaa la siasa asubuhi sijui mchana ban nimepewa usikuUlikuwa Jukwaa la Siasa?
Hauna shida ndio maana uliuvunja wakat hata hujamaliza la sabaSasa Nokia ungo wa kupepeta mchele unashida gani tukiuvunja
Nimeguna tu mimi kwahiyo unatupa hongera za kuvunja ungoWaguna nini Shunie?
Duuuh yaan ungejua enzi zetu tulikuwa tunachelewa kuvunja ungaHauna shida ndio maana uliuvunja wakat hata hujamaliza la saba
Kwa hiyo kuzungumza habari za maandamano humu JF ni marufuku? Kulingana na sababu waliyokuelezaNilikuwa jukwaa la siasa asubuhi sijui mchana ban nimepewa usiku
Ah wapi...wengi darasa la 6 au 7 sema mlikuwa mnasubiri mpk secondary ndio mfunguliwe njia kbsDuuuh yaan ungejua enzi zetu tulikuwa tunachelewa kuvunja unga
Yes hawataki kusikia hizo habari kabisa za maandamano wameniambiaKwa hiyo kuzungumza habari za maandamano humu JF ni marufuku? Kulingana na sababu waliyokueleza
AsanteeeeYeah! Mnazo nguvu, jamaa na nguvu zote kuvunja ungo kashindwa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yaan weweAh wapi...wengi darasa la 6 au 7 sema mlikuwa mnasubiri mpk secondary ndio mfunguliwe njia kbs
Darasa la 7 ukishikwa nyonyo unaenda kusema lkn form 3 ukishikwa unaruka unacheka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yaan wewe