amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,297
Well wadau mie ni muajiriwa kanda ya ziwa bukoba katerero moja kwa mtu binafsi ila kuchomoka dakika 2 tatu kwa siku naweza.
Simnajua tena vimshahara vya waswahili nafikiria kuzungusha hela kidogo izae kuliko kuiweka benki haizai.
Wazo lililonijia ni kukodi mtumbwi yes kukodi nimepeleleza kama 400,000 mmoja unakaa nao si mda maalum mpaka hela yako itakaporudi na kifaida kidogo.
Naombeni ushauri wenu mtu aliyenipa hilo wazo kaniambia inalipa sana.
Naomba mawazo yenu wataalam kuhusu hii biashara.
Well pesa nliyonayo cash inahang hang ni 1,000,000.
Naombeni mawazo ya kitaalamu zaidi au kama kuna biasharq nyingine huku mnishtue.