Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,548
Kwenye nchi zilizo endelea, kuna banki za mbegu za kiume ambazo zimehifadhiwa kama tunapo hifadhi damu na wanawake hununua na kupata watoto wasio jua baba zao baadhi yao.
Kichwa hapo juu nimetumia.neno kununua/ kuuza lakini inawezekana ikawa wanawake wanapewa zile mbegu bure au kweli wananunua na wanaume inawezekana wanajitolea au wanaziuza kama biashara.
Kwa wenzetu huko imekua kawaida mwanamke kutunga mimba kwa mbegu za kuchukua hospitali maana yake bila kukutana na mwanaume kimwili.
Swali langu je, kutunga mimba kwa njia hizo ni sawa na dhambi ya uzinzi?
Swali jingine kujitolea kutoa mbegu au kuuza mbegu za kiume , Je ni haramu / dhambi?
Kila mtu na dini yake.