Bin Chuma75 JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 1,003 Reaction score 1,103 Jan 24, 2017 #1 Habari wakuu! Hali imekuwa mbaya biashara hazifanyiki, nauliza utaratibu wa kuuza EFD mashine ambayo imetumika, utaratibu ukoje? Naamini wapo wajuzi humu
Habari wakuu! Hali imekuwa mbaya biashara hazifanyiki, nauliza utaratibu wa kuuza EFD mashine ambayo imetumika, utaratibu ukoje? Naamini wapo wajuzi humu
Nima Imma JF-Expert Member Joined May 14, 2015 Posts 2,473 Reaction score 3,697 Jan 30, 2017 #2 hebu fatilia uniambie utaniuzia bei gan nahitaj