Kuunda umeme wa kinyesi Cha binadamu

Ni pm na hili wazo ni geni kwangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Illegal to underdeveloping countries but to elites and developed countries this is normal technology they don't think about either hidro electric or fuel but they apply air, bio and soon start to use thunderstorm electric power, think big we have to change our tech and outdated law
This is illegal. Serious fire and properties damage may happen.
 
una kinyesi cha kutosha hapo kwako?
 
Cc EWURA
 
Nimeiona katika Google hiyo....Gas from human FAECES could generate electricity for up to 138 million households, report claims. Gas harnessed from human faeces could generate electricity for up to 138 million households and curb the destruction of trees for fuel, a new report has claimed.Nov 3, 2015
 
Pitia vyema then shusha nondo hapa
 
lazima EWURA wakule kichwa, handling(na storage means) ya gas yake(methane) ni ngumu mno, maana ni pure methane(propane,butane) ile haiwi 'neutralized' kidogo kupunguza makali

ukienda gas plant kama Songas then uone wanavyo handle iyo kitu ma+mae , utashangaa na kukubali kwanini EWURA wanai 'condemn'
 
Kwamba lazima niwe registered Ni hii project au inakuwaje maana kitu ipo ndani ya ukuta matumizi Ni Mimi na familia yangu tu?
lazima EWURA wakule kichwa, handling(na storage means) ya gas yake(methane) ni ngumu mno, maana ni pure methane(propane,butane) ile haiwi 'neutralized' kidogo kupunguza makali
 
Duuuh utatengeneza mabomu mkuu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu funga solar.
Andaa laki 4 unapata full set
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…