sulemanfaustine
New Member
- Mar 21, 2015
- 4
- 0
piga punyetonilikuwa na mpenzi tumekuwa naye kwa muda mrefu tulipendana sana lakini amebadilika ghafla amesema hanitaki tena na mimi bado nampenda sasa nifanyeje jamani naomba ushauli wenu nifanyeje sasa?
Kiongozi pole sana. Achana nae na wala usiumize kichwa coz umeepushwa na mengi tayari. Omba mungu akupe wa kufanana na wewe. Huyo hafanani na wewe na ndio sababu amesepa. Kikubwa mshukuru kwa ushirkiano aliokupa kipindi chote mlichokuwa pamoja kwa raha na sio shida.Nilikuwa na mpenzi tumekuwa naye kwa muda mrefu tulipendana sana lakini amebadilika ghafla amesema hanitaki tena na Mimi bado nampenda sasa nifanyeje jamani naomba ushauli wenu nifanyeje sasa?
Huna dada?????
Jifunze kutopenda sana
Nilikuwa na mpenzi tumekuwa naye kwa muda mrefu tulipendana sana lakini amebadilika ghafla amesema hanitaki tena na Mimi bado nampenda sasa nifanyeje jamani naomba ushauli wenu nifanyeje sasa?
Nilikuwa na mpenzi tumekuwa naye kwa muda mrefu tulipendana sana lakini amebadilika ghafla amesema hanitaki tena na Mimi bado nampenda sasa nifanyeje jamani naomba ushauli wenu nifanyeje sasa?
Usimpigie simu kwa zaidi ya miaka mitatu, katika kipindi hicho tafuta hela kwa nguvu sana, mwaka wa nne hesabu una bei gani kwenye account zako, kisha mtafute.
Utakuta kachokaaaa kama katapikwa!!! Hutakuwa na hamu ya mbunye yake tena.
Hakuna uwezekano umkute ana hela manake yeye amedanganywa kwa kupewa vihela vya kutumia akadhani amepata kumbe amepatikana. jamaa atasepa soon naye ataujua utamu wa mkakasi kuwa ndani ni kipande cha mti.
Pole na kila la heri.
Nilikuwa na mpenzi tumekuwa naye kwa muda mrefu tulipendana sana lakini amebadilika ghafla amesema hanitaki tena na Mimi bado nampenda sasa nifanyeje jamani naomba ushauli wenu nifanyeje sasa?
piga punyeto