CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
Habari za mchana..
Huwa naona sa watu wanaandika hivi
3S-FE 2.0L engine, 4WD)
1ZZ-FE 1.8L engine, 2WD)
Hizo huwa ni nini?? Husadia nini katika utumiaji wa magari..
Asanteni
Tz nisaidie na mimi kwenye gia kuna P - parking, R- Reverse; N - Neutral Free; zinazobaki sijui matumizi yake ingawaje nina gari yapata miaka minne sasa - 2 na L.3f-SE na 1ZZ-FE ni aina ya engine kwa magari ya toyota.
2.0L na 1.8L ni size ya engine.L inasimama kama liter.Pia 2.0 maana yake ni 2000cc na 1.8 ni sawa na 1800cc.
4WD maana ni gari unayoweza kuzungushwa matairi yote ma nne na gear box.
2WD matairi ma wili yanazunguswa.
Wingi wa CC ndiyo ukubwa wa engine.
2 inatumika kwenye barabara mbaya inafanya engine itembee na gear namba 2 ambayo itakusaidia uende mwendo mdogo na wenye nguvu(ila usiende mbio zaidi ya Km 20 kwa saa,ukizidisha speed utatuumia petrol nyingi na unaweza kuharibi engine)Tz nisaidie na mimi kwenye gia kuna P - parking, R- Reverse; N - Neutral Free; zinazobaki sijui matumizi yake ingawaje nina gari yapata miaka minne sasa - 2 na L.
Ahasante kwa utayari wako
tz1 ahsante kwa somo lako; wanyonge tunateseka sana maana naamini ukinunua "Brand New Car" lazima utapewa na "Manual" yake. hapo kwenye O/D kuna mwalimu mwingine alinielekeza kwa ajili ya kupanda vilima yaani gari inaongezeka nguvu2 inatumika kwenye barabara mbaya inafanya engine itembee na gear namba 2 ambayo itakusaidia uende mwendo mdogo na wenye nguvu(ila usiende mbio zaidi ya Km 20 kwa saa,ukizidisha speed utatuumia petrol nyingi na unaweza kuharibi engine)
L ni low gear.Una weza kutumia hii ukiwa unashuka miteremko mikali kwa speed ndogo.
Kuna kitu kingine kina itwa O\D.ni over drive tumia O/D on,ikiwa unaendesha mjini kama unaenda masafa switch off O/D utapata speed nzuri na matumizi madogo ya mafuta.
Ukiwa unapnda mlima mkali na gari ina sinzia weka 2 au L.Hizo ni lower gear.tz1 ahsante kwa somo lako; wanyonge tunateseka sana maana naamini ukinunua "Brand New Car" lazima utapewa na "Manual" yake. hapo kwenye O/D kuna mwalimu mwingine alinielekeza kwa ajili ya kupanda vilima yaani gari inaongezeka nguvu
4WD* 4 WHEEL dRIVE MANAKE GARI HAIKWAMI POPOTE INAPITA KWENYE MABONDE NK
2WD* 2 WHEEL DRIVE VICE VERSA
Ha ha haaa.
Jf ni zaidi ya uijuavyo!