kwani BAM na Pure Math ni kitu kimoja, copy ya kitabu cha TCU si unayo!!! Mbona kwa kila faculty kuna maelezo yanaeleweka.
Kuna baadhi ndio BAM anachukua nafasi ya Pure Math ili kumfanya mtu wa PCB mfano kuwa eligible kusoma faculty fulani fulani. Na kuna baadhi haiwezekani.
So kwa kila faculty we angalia requirements vizuri