sylvesterwille
Senior Member
- Nov 29, 2013
- 172
- 41
Jamani naomba kuuliza then mnisaidie kunizibua mackio yangu!
Kunademu flani hv anapendaga sana kukaa namm karibu,na asiponiona anasema hana raha kabisaaa!, na anapokua karibu namm anapendA sana kunishikashikA nakunichekelea! Alafu ukizngatia niMke wa Jamaa flani hvi namjua kwa sura co kiundani zaid.
Je hv inakuaje huyu mwanamke anamaanisha nn au ananizinguazingua tu ilimrad asikose mtu wakuchekacheka naeee!!???
Ninamiaka 27

Si keshasema kuuliza sio ujinga ...BrodaMiaka 27 unauliza maswali ya kitoto?
Kama hujui kusoma ina maana hata picha hujui kuisoma ukaelewa?
Jamani naomba kuuliza then mnisaidie kunizibua mackio yangu!
Kunademu flani hv anapendaga sana kukaa namm karibu,na asiponiona anasema hana raha kabisaaa!, na anapokua karibu namm anapendA sana kunishikashikA nakunichekelea! Alafu ukizngatia niMke wa Jamaa flani hvi namjua kwa sura co kiundani zaid.
Je hv inakuaje huyu mwanamke anamaanisha nn au ananizinguazingua tu ilimrad asikose mtu wakuchekacheka naeee!!???
Una umri gani?
Hadithi njoo, uongo njooo, utam kolea!