johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,998
- 142,026
Pascal May all, Haji Manara, Petri Mselewa au mwanasheria yeyote hapa Jf mtakapoamka naomba msaada wenu tafadhali.
Nijuavyo kuna mihimili mitatu inayojitegemea au kwenye kesi inatakiwa ishirikiane?!!
Maendeleo hayana vyama!

Inaonekana wazi kuwa waliomvua ubunge Tundu Lissu ni serikali na huyo Spika "ameamrishwa" atoe tangazo hilo Bungeni
Kwa uelewa wangu iwapo si mwanasheria, inakuwaje mawakili wa serikali wanakingia kifua bunge? Kwani bunge hawana mawakili wao? Nawaza tu kwa sauti
Haikutuma mawakili wake kww sababu ilikuwa si uamuzi wa bungeIsha andika hii jana!
Lissu analishtaki Bunge sio serikali,Bunge lilistahili lilete mawakili wake ambao ninawajua ni wengi tu akiwepo ndugu yangu Prudence Rweyongeza!
Lissu kaisha shinda ktk hatua ya awali,sasa hatua ya pili ni kuhusu kurudishiwa ubunge wake!
Bunge la TZ kwa nn halijatuma mawakili wake kulitetea?
Nliona mahali kama vile mshtakiwa namba mbili ni serikaliIsha andika hii jana!
Lissu analishtaki Bunge sio serikali,Bunge lilistahili lilete mawakili wake ambao ninawajua ni wengi tu akiwepo ndugu yangu Prudence Rweyongeza!
Lissu kaisha shinda ktk hatua ya awali,sasa hatua ya pili ni kuhusu kurudishiwa ubunge wake!
Bunge la TZ kwa nn halijatuma mawakili wake kulitetea?
Hapana, kwa uelewa wangu mwanasheria mkuu ni sehemu ya Bunge. Kwahiyo kesi zote za bunge lazima mwanasheria mkuu asimame. Ila kwa hili mwanasheria mkuu ilitakiwa awe upande wa Mh Lissu, Sasa nashangaa leo yuko upande wa Bunge.
Hivi kwa tukio la Tundu Lissu wanatafuta ushahidi mwingine zaidi ya huu??Ni ukweli usiopingika.
Askari mmoja akisaliti piga risasi kisha songa mbele.
Unamtafuta mchawi wapi wakati anajulikana kwà maneno yake?
Imeshaachiwa mkuu!Tulia uandike vizuri ndege itaachiwa tu