Kuuliza si Ujinga: Hivi kesi ya Tundu Lisu ni dhidi ya Spika wa bunge AU dhidi ya serikali

Pascal May all, Haji Manara, Petri Mselewa au mwanasheria yeyote hapa Jf mtakapoamka naomba msaada wenu tafadhali.

Nijuavyo kuna mihimili mitatu inayojitegemea au kwenye kesi inatakiwa ishirikiane?!!

Maendeleo hayana vyama!

Isha andika hii jana!
Lissu analishtaki Bunge sio serikali,Bunge lilistahili lilete mawakili wake ambao ninawajua ni wengi tu akiwepo ndugu yangu Prudence Rweyongeza!

Lissu kaisha shinda ktk hatua ya awali,sasa hatua ya pili ni kuhusu kurudishiwa ubunge wake!

Bunge la TZ kwa nn halijatuma mawakili wake kulitetea?
 
Hii kesi imedhihirisha kuwa kuna "ubia" usio rasmi, kati ya mhimili wa serikali na Bunge

Serikali imeleta wanasheria wake 15, akiwemo mwanasheria wake Mkuu, dhidi ya Mbunge mmoja tu Tundu Lissu!

Hivi huo mhimili wa Bunge, kwanini haukuleta wanasheria wake, ikiwa anayeshitakiwa ni Spika Ndugai??
 
Hapana, kwa uelewa wangu mwanasheria mkuu ni sehemu ya Bunge. Kwahiyo kesi zote za bunge lazima mwanasheria mkuu asimame. Ila kwa hili mwanasheria mkuu ilitakiwa awe upande wa Mh Lissu, Sasa nashangaa leo yuko upande wa Bunge.
Kwa uelewa wangu iwapo si mwanasheria, inakuwaje mawakili wa serikali wanakingia kifua bunge? Kwani bunge hawana mawakili wao? Nawaza tu kwa sauti
 
Isha andika hii jana!
Lissu analishtaki Bunge sio serikali,Bunge lilistahili lilete mawakili wake ambao ninawajua ni wengi tu akiwepo ndugu yangu Prudence Rweyongeza!

Lissu kaisha shinda ktk hatua ya awali,sasa hatua ya pili ni kuhusu kurudishiwa ubunge wake!

Bunge la TZ kwa nn halijatuma mawakili wake kulitetea?
Haikutuma mawakili wake kww sababu ilikuwa si uamuzi wa bunge
 
Isha andika hii jana!
Lissu analishtaki Bunge sio serikali,Bunge lilistahili lilete mawakili wake ambao ninawajua ni wengi tu akiwepo ndugu yangu Prudence Rweyongeza!

Lissu kaisha shinda ktk hatua ya awali,sasa hatua ya pili ni kuhusu kurudishiwa ubunge wake!

Bunge la TZ kwa nn halijatuma mawakili wake kulitetea?
Nliona mahali kama vile mshtakiwa namba mbili ni serikali
 
Hapana, kwa uelewa wangu mwanasheria mkuu ni sehemu ya Bunge. Kwahiyo kesi zote za bunge lazima mwanasheria mkuu asimame. Ila kwa hili mwanasheria mkuu ilitakiwa awe upande wa Mh Lissu, Sasa nashangaa leo yuko upande wa Bunge.

Mkuu, alitakiwaje kuwa upande wa Lissu wakati umesema yeye ni sehemu ya bunge na kesi ni ya Lissu dhidi ya bunge ?
 
Ni ukweli usiopingika.

Askari mmoja akisaliti piga risasi kisha songa mbele.

Unamtafuta mchawi wapi wakati anajulikana kwà maneno yake?
Hivi kwa tukio la Tundu Lissu wanatafuta ushahidi mwingine zaidi ya huu??

Mtu kataamka wazi kuwa unapokuwa kwenye uwanja wa mapambano na mnagundua mmoja wenu anawasaliti, mnam-shoot na kuendelea na mapambano.......
 
Hii ni kesi ya HAKI dhidi ya DHULUMA. Tuna mihimili imejipambanua dhahiri kusimamia upande wa dhuluma.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom