Kuuliza si ujinga, et wajamen android ndo nini?

Ha..ha..ha...hiyo ndo Jf where we dare to talk openly, sinahaja ya kuwajibu mlionipiga vijembe but, na ndo mana nikatangulia kusema. Kuuliza si ujinga by the way hili sio jukwaa la mipasho jibu swali kwa kumwaga maujuzi kulingana na kilichoulizwa!! Big up kwa wakuu mlionipa majb mazuri katika hili!.
 
sio vyema kumjibu mtu kwa vijembe .kwa xwali lake hili siku ndugu ako akiuliZa xwali hili kwa Google lazima watamwelekeza humu...sa akikuta vijembe vya kubadilisha majina wote tutaonekana lowest thinker
 
Uzee mwisho mikumi.....

DUNIA HII HAKUNA MTU ANAYEWEZA KUFANYA KILA KITU ILA KILA MMOJA WETU ANAWEZA AKAFANYA KITU FULANI SASA KWA PAMOJA TUKIUNGUNA TUNABADILISHA ULIMWENGU......Mr Genius kauliza swali zuri tu sasa watu wanapiga majungu vijembe kama tupo jukwaa la taarabu
 

Umetuelewesha wengi asanteni sana
 
google tu zipo mingi mno
Kuna android symbian bada windows na I os
Zote hizi ni mijengo ya undeshaji wa simu husika
 
Da mkuu na ww upo huku,nikajua upo maeneo yetu yale ya rahaleo…alafu nilijua ni the owner,,,ahhh ahhhha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…