Kiukweli kwa siku za hivi karibuni nimekua nikisikia sikia hili swala masikioni mwangu kwa sana, sasa naombeni kuuliza mwenzenu kwani android ndio nini? mana naona hata washkaji wenzang wamenunua simu wananiambia hizi ndo simu za android na wanazisifia kwelikweli, licha ya hivyo pia kila nikitembeleaga jukwaa hili habari ndo hizo hizo cjui application za adroid zmefanyeje, mala android za huawei mala za samsung, wajamen heb na mimi mnitoe tongo rongo android ndo nini inakazi gani kwenye simu??!! mimi natumia ka-blackberry kangu 8520 sijui nayo inaandroid sijui haina....nawasilisha!!
android ni maarufusana kwa sababu source code yake ni huru nahii. inawezesha android kuendelezwa na wataalam mbali mbali. pia ni rahisi kutengeneza vitumizi yaani apps na zikawa bure kwa watumiaji. mfano baadhi ya games, na vingine kibao. free apps ndo zinaifanya android kuwa maarufu lakin pia urahisi wa kuitumia.Kwa sehemu nmewaelewa mkuu @HpHillary pamoja na mkuu iMind lakn pia naomba kuuliza kwan hii operating system ya android ina nini hasa ambacho ni kizuri na inautofauti gan na Os zingne kisi cha kua maarufu sn hv?
badili jina alafu urudi hapa
badilisha jina mkuu
hmmm! msije mkaonekana wajinga ndo nyie aisee!Badilisha jinamkuu
hmmm! msije mkaonekana wajinga ndo nyie aisee!
mbona mwenzenu kauliza mazuri tu afahamishwe?
Aisee...mna moyo sana wa kuwajibu hawa jamaa. Jinga kabisa.
Hili jukwaa is well respected with hot and intellectual topics, haya maswali angetumia sekunde kadhaa with very little clicks angepata majibu zaidi ya ushee! !! Ndo mana nasema mna moyo kumjibu huyu geneous ubwabwa. Wengine wanawatch the way jinsi ya kufungua sredi.
No need to panic!
English is azana Problema some times!
Anaweza ku google afu asielewe! Si unajua wazungu ndio wenye moyo sana wakufungua blogs et all kuelezea mambo kama hayo!
Na kwa Lugha yao ya kizungu!
Lakini wabongo Umbea , Udaku , Na mapenzi ndivyo vilivyo jaa kwenye Blogs zetu hizi!
Aisee...mna moyo sana wa kuwajibu hawa jamaa. Jinga kabisa.
Hili jukwaa is well respected with hot and intellectual topics, haya maswali angetumia sekunde kadhaa with very little clicks angepata majibu zaidi ya ushee! !! Ndo mana nasema mna moyo kumjibu huyu geneous ubwabwa. Wengine wanawatch the way jinsi ya kufungua sredi.