Kutunza vitu usivyotumia Ni ugonjwa

Nimecheka maana inanigusa hiii...kweli ule msemo katika watu 10 kuna kichaaa mmoja Nakubali aseee,kumbe duniani ndo kugumu hivi kukidhi vigezo vya utimamu.?! sikujuaga
 
Si uchafu, kwa sisi wana wa maghettoni at list inaleta muonekano ktk dressing table kumbe hata hauna kitu
 
Unakua na nguo za ndani zimechakaa unashindwa hata kuzichoma moto kuna ex wangu flan wa kichaga anapesa kweli na mzuri kweli siku hiyo kaja home kumbe ndio siku aliyovaa chupi imetoboka kwa kweli nilimdharau na kumshusha
Thamani
Mmmmmh!
 
Hahaaa....jamani
 
Kwahiyo tv yangu Chogo inch14.📺 Niitupe kisa ninaflat ya inch32. 💻
Big NO! ! Ngoja niendelee kuwa kwehu tu.
 
Mm ndio nshashindwa kurundika mavitu sipendi naona uchafu...nashea chumba na ndugu yang mmoja ananikeraaaa maviatu ya toka mwaka gani sijui kayaweka hata havai, manguo ndo balaa had harufu yamerundikwa tu havai na kugawa hatak bas avae hatak kero tupu
 
We nawe ulirahisishiwa kula mzigo through youtube ,mwenzako yuko sahihi
Unakua na nguo za ndani zimechakaa unashindwa hata kuzichoma moto kuna ex wangu flan wa kichaga anapesa kweli na mzuri kweli siku hiyo kaja home kumbe ndio siku aliyovaa chupi imetoboka kwa kweli nilimdharau na kumshusha
Thamani
 
Basi mimi mgonjwa,kuna nguo nimenunua hata sijawahi zivaa,some time nashtukia kumbe nilinunua hii nguo?
Mnawezaje kununua nguo usivae.?Mi nkinunua nguo Leo mchana nkifika nyumbani naifua inalala kwenye kamba asubuhi pasi naitia mwilini.
 
Sipendi kurundika vitu ndani,nagawa Sana nguo mtu akitoka kijijini lazima aondoke na mzigo wa maana.Hawa wa humu mjini naogopa kuwapa mtu anaeza sema umemdharau kumpa nguo ambazo ushavaa,kitu ambacho sio.
 
Ugonjwa unaitwaje?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…