Crispin Nyoni
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 413
- 90
Naomba nizikiri wazi kuwa ni ngumu kwangu kuishi bila mchepuko.Ziko sababu nyingi zinazopelekea kuwa na mchepuko mathalani jinsi anavyokunyenyekea na ubunifu kitandani.
Mchepuko wangu nimeusevu battery down na nimewekea rington ileile ya battery down.Mida hii mchepuho umepiga kutaka kunijulisha anasafiri kwenda Masasi simu ilikuwa jirani na wife.
Akauliza mbona simu iko full ila inasema battry down? Nikasema betri imechoka.Nikajifanya naenda kuchaji sebuleni nikaenda chooni nikapokea simu na ninavyoongea hapa niko chooni.
Naomba ushauri sasa nifanyeje kutunza siri ya mchepuko isijulikane ndani ya nyumba?
Asanteni