easy kaka trick inatakiwa itokee kwenye android na sio kwenye windows. hio ni os inajitegemea yenyewe hivyo ustegemee proxy za window kupiga kazi huko.
1. kueka apn ya android sawa na local host ya tg.
am not sure kama bluestack unaweza tengeneza separate apn ila kama inawezekana utaeka apn yenye proxy ya local host (127.0.0.1) na host utamueka ile ulopewa na tg. hapo utakua umeconect tg na android yako.
2. kueka trick za android.
hapa hutatumia tg ya windows instead utagenerate trick yako tokea kwenye android. mfano kwa kutumia handler au troid au droidvpn na wengineo.
hizo ndio theory zangu jaribu kuzieka halafu nipe feedback.