TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,678
- 28,794
Ni huawei hiyo?
Software ilitokana na modemu ya Zantel ila nimetumia kuunganisha modem ya zamani ya Zain (nilichokifanya nilibalidisha code ya Zantal na kuweka code ya Zain) kufanya connection ya modem ya zein na server husika. kwa kifupi ni Huawei.
.
Kwann usitumie software ya zain?
Nimedownload kama ulivyosema ila wakti inaintall update imenipa error code 12: Get device information failed
.
Kaka ungeomba kwanza maelekezo
.
Fanya hivi ingiza hiyo software ya modem iliyo ndani yake kwanza ndipo ufuate na hiyo....
Ila usiifungue na uiache mpaka itakapo maliza
Kwenye WinRaR folder iliyonitumia kuna file moja tu lenye extesion ya .exe..., hiyo unayoniambia niingize kwanza ni ipi..!?
....
Ila hakikisha ume install kile kiprogram kilicho ndani ya modem yako mana bila hivyo hicho nilichokutumia hakitaweza kuipata port ya modem yako....
.
.Nimefuata mashart yote....nime'run' hicho ki'file' huku nikiwa nimefunga programs zote hata Antvirus ni li'pause' protection...sasa ki'update wizard' kilipofika step ya nne (4) kwenye download kimetoa messsage hii...'Error code:17, The wireless inserted is not Dashboard, Update can't continue.
Nafanyaje hapo mkuu...!?
mkuu kwanza nashukuru sana kwa juhudi unazoonyesha kunisaidia....
.
.
Jaribu na hizi apa chini
.