Kutumia simu kama projector

Vawulence

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Posts
1,983
Reaction score
2,341
Wakuu habari za majukumu. Juzi katika mizunguko yangu nilipita mahali na nikaona jamaa mmoja anangalia video kutokea kwenye simu yake ya mkononi kwenda ukutani bila kifaa kingine chochote.

Simu yenyewe ilionekana ya kawaida tu ila ina tochi kwa juu kama nokia tochi na tochi hiyo ndiyo iliyokuwa ikitumika kuproject.Nilimchunguza jamaa ila akawa mgumu kutoa ushirikiano.

Mwishio nikaamua kurudi hapa kwa magreat thinkers nijue kama kuna application inayowezesha simu kufanya projection au ni simu maalum...Chief Mkwawa Mwl. RTC Njuwa Na wengine wanaojua hii mambo tafadhali.
 
Mkuu,
hapo hakuna app yoyote uchawi wala ndumba!

kuna simu siku hizi zina projector built in kama vile ilivyokua simu zenye tochi. Mfano ni simu aina ya Samsung Galaxy Beam na baadae ikatoka Samsung Galaxy Beam 2, hizi zinaweza kufanya kazi au kuproject kwa umbali wa mita 2 mpaka 5 kwa ukubwa kama wa tv ya kawaida kwa kutumia nHD resolution ikiwa na uwezo wa uangavu wa mwanga kiwango cha 15ansi lumens. Pia ifahamike kwamba kuna simu aina nyinginezo pia zina built in projector.

technology inabadilika kila kukicha, tungoje simu zenye mafriji na pasi

angalia hii simu hapa
 

Attachments

  • image.jpg
    31.5 KB · Views: 543
Mkuu hiyo ni samsung galaxy beam kuna jamaa yangu anayo ila ni kadogo tu halafu ya kawaida sana
 
Kuna Jamaa Ni Agent wa G Five tanzania niliwah ona anaztangaza smu za mtindo huo Facebook... ila s unajua Product zachina ila
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…