habar wakuu naomba kujuzwa namna gani ninaweza fanya ili bundle langu la kwenye simu nitumie kwa ajili ya pc kama wireless PC YANGU NI DELL NATUMIA WINDOW 7 NA SIMU NI TECNO M3
Natanguliza shukrani.
Kwanza hyo pic yako INA wireless and hyo tecno INA wireless hotspot.. Kama hvyo vtu vpo kwa vifaa vyako. Ni rahis ukiwasha hotspot kwa simu then wash a wireless kwa PC then scan itaonekana.. Hakikisha password ya wireless pia unaijua